Habari zilizotufikia punde ni kwamba askari wanane (8) wamekamatwa mkoani Morogoro kwa tuhuma za mauaji ya Muuza magazeti Ali Zona wakati wa maandamano ya Chadema yaliyofanyika mwezi uliopita mjini humo.
-Mjini Iringa mtuhumiwa wa mauaji ya Daudi Mwangosi hakuweza kufikishwa mahakamani leo kama ilivyokuwa imepangwa.
-IGP Mwema bado yupo Iringa anahaha kuzungumza na viongozi wa dini kusaidiwa kupoza mambo katika jamii kuhusu tukio la kuuawa kwa mwandishi wa habari Daudi Mwangosi, tukio ambalo limeonekana kugusa hisia kali miongoni mwa wanajamii mkoani humo.
Home »
» Askali nane wakamatwa juu ya kifo cha Ally Zona morogoro



0 comments:
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !