Headlines News :
Home » » HUYU MWANAFUNZI ALIEANDIKA BONGOFLEVA KTK MTIHANI WA KUMALIZA FORM IV.

HUYU MWANAFUNZI ALIEANDIKA BONGOFLEVA KTK MTIHANI WA KUMALIZA FORM IV.

Written By Unknown on Thursday, 13 September 2012 | 05:15


Producer Fundi na Elinaja.

Bado Tanzania haijamsahau huyu mwanafunzi ambae aliongelewa sana wakati matokeo ya form IV yalipotoka mwaka jana kutokana na kuandika mistari ya bongofleva kwenye mtihani wake baada ya kuona hakuna chochote alichopata kwenye elimu.

Alipohojiwa kwa mara ya kwanza kwenye POWER BREAKFAST ya CLOUDS FM, Elinaja alisema aliamua kuandika mistari ya bongofleva ili wahusika wapate msg, hata hivyo alisema kitu ambacho ana uhakika uwezo wa kukifanya anao ni muziki ambapo amerekodi upya single yake ya Mr President na kumshirikisha Barnaba
Share this article :

0 comments:

Speak up your mind

Tell us what you're thinking... !

Followers

SEARCH THIS BLOG

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Proudly powered by Blogger
Copyright © 2011. Habari Bongo - All Rights Reserved
Template Design by Creating Website Published by Mas Template