HUYU NDO MISS KINONDONI
Written By Unknown on Saturday, 15 September 2012 | 10:13
Mshindi wa taji la Miss Kinondoni Brigiter Alfred (katikati) kulia ni mshindi wa pili Diana Hussein na mshindi wa tatu Irene David. Brigiter pia ni mshindi wa Miss Sinza 2012 huku Irene akiwa mshindi wa Miss Ubungo 2012. Pamoja na hayo Redd’s Miss Kinondoni 2012 alijishindia taji la Miss Talent.
Labels:
burudani,
mchanganyiko,
mpya
0 comments:
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !