Home »
» Picha ya maandamano ya wandishi wa habari kupinga mauaji ya mwangosi.
Picha ya maandamano ya wandishi wa habari kupinga mauaji ya mwangosi.
Written By Unknown on Tuesday, 11 September 2012 | 01:11
Maandamano ya wandshi wa habari mkoa wa Dar es salaam yamefanyika na kuishia uwanja wa jangwani ambapo waandishi wameonyesha hisia mbalimbali kupinga mauaji hayo yaliyo fanywa na police mkoan iringa,katika tukio hilo kumekuwepo na zoezi la kuichangia familia ya marehemu,kiasi cha pesa laki tano kimechangwa.



0 comments:
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !