Headlines News :
Home » » Breaking News: Nchimbi Azomewa na Waandishi viwanja Vya Jangwani..

Breaking News: Nchimbi Azomewa na Waandishi viwanja Vya Jangwani..

Written By Unknown on Tuesday, 11 September 2012 | 00:30

Katika maandamano ya waandishi wa Habari yanayoendelea katika viwanja vya Jangwani yamepata sura mpya baada ya kufika na kupokelewa na Waziri wa MAMBO ya ndani Dr. Emanuel Nchimbi, kitu ambacho hawakukitarajia. Baada ya kufika waandishi walianza kumzomea Waziri na Wakimtaka aondoke kwani maandamano yale hayamhusu, wakiimba nyimbo za kumzomea walimshinikiza aondoke uwanjani huku wakimsindikiza na kelele za kumzomea.
Share this article :

0 comments:

Speak up your mind

Tell us what you're thinking... !

Followers

SEARCH THIS BLOG

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Proudly powered by Blogger
Copyright © 2011. Habari Bongo - All Rights Reserved
Template Design by Creating Website Published by Mas Template