Home »
» CCM Wazindua Tawi Katika Mji wa Leicester Kwa Kishindo!!!!
CCM Wazindua Tawi Katika Mji wa Leicester Kwa Kishindo!!!!
Written By Unknown on Monday, 10 September 2012 | 09:13
Baada ya kuona Chama Cha Demokrasia na maendeleo kinaendeleza harakati za vuguvugu la mabadiriko hadi nchi za nje kama Marekani, Uingereza, na nchi nyingine za Ulaya, Chama Cha Mapinduzi (CCM) hakijabaki nyuma katika harakati za kukinusuru cha chama kutokana na pressure wanayoipata kutoka CHADEMA, hapo jana CCM wamezindua tawi katika mji wa Leicester nchini Uingereza na kusajili wanachama wa kutosha. Picha za Chini


0 comments:
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !