Home »
» Dr.KIGWANGALA AINGIA MITINI
Dr.KIGWANGALA AINGIA MITINI
Written By Unknown on Tuesday, 11 September 2012 | 08:56
Kigwangala aingia mitini, kumbe unaweza ukawa na ma PHD ukawa hopeless tu. Kigwangala hafai kuwa hata mjumbe wa nyumba kumi kumi wachilia mbali ubunge kama hana maamuzi.
Ameboa sana. Anatia aibu sana wadau walisubiria maamuzi yake kwa hamu lakini kumbe aliandika akiwa na mihemuko ya kushika bastola sio uungwana
Kigwa tulia kula posho lala bungeni 2015 sio mbali




0 comments:
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !