Home »
» MKUU WA WILAYA YA SENGEREMA AWACHAFUA MAKARANI WA SENSA WILAYANI HUMO.
MKUU WA WILAYA YA SENGEREMA AWACHAFUA MAKARANI WA SENSA WILAYANI HUMO.
Written By Unknown on Tuesday, 11 September 2012 | 08:39
Mkuu wa wilaya ya sengerema Mwl.Karen Yunus alalamikiwa vikali na makarani na wasimamizi wa zoezi la sensa kwa kuwalazimisha makarani hao kutoa pesa kila mmoja Tsh.2000/= akidai pesa hiyo itatumika kufanikisha shughuli za mwenge wilayani hapo,mkuu huyo alisisitiza kusema inawalazimu kutoa pesa hiyo kama pia kuludisha fadhila kwake,maana niwengi waliachwa katika zoezi hilo bali wao wamepata hivo wawe namoyo wakutoa shukrani,aliendelea kutoa vitisho kwayeyote ambae hatatoa pesa hiyo atashughulikiwa vikali hali iliyopelekea makarani hao kutoa pesa hiyo wakiogopa kushughulikiwa na mkuu huyo,kutoka sengerema taarifa za kuaminika zinasema mkuu wa wilaya huyo ameenda wilayani humo sio kutatua matatizo ya wanasengerema bali kuendelea kuwaumiza kila kunapokucha.



0 comments:
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !