Home »
» Hali ni tete jimboni kwa Mh.Willium Mganga Ngereja
Hali ni tete jimboni kwa Mh.Willium Mganga Ngereja
Written By Unknown on Sunday, 9 September 2012 | 14:44
Hii ni baada ya Mh.Ngereja kunyakuliwa tonge mdomoni,hali yakisiasa jimboni kwake sengerema imekua inamchanganya hadi kupelekea kushindwa kujitokeza kwa wananchi wake kuwahotubia,habali za kuaminika toka jimboni humo zinasema mbunge huyu amekua akitoa ahadi za uongo zilizopelekea mbunge huyu kukosa mvuto kabisa jimboni humo,Mh.Ngereja amechinja ng'ombe wengi kuwavuta wanchi hawa lakini jitihada hizo zimegonga mwamba mpaka tunaingia mitamboni.
0 comments:
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !