mahakama ya tanzania inatarajia kupeleka jumla ya majaji wanne wa mahakama ya rufaa na mahakama kuu katika chuo mashuhuri kijulikanacho kwa jina la 'RIPA INTERNATIONAL' kilichopo nchini uingereza kushiriki mafunzo ya muda mfupi yanayohusiana na maadili ya mahakama(judicial ethics)..majaji watakaokwenda kupata mafunzo hayo ni;january msofe,MBAROUK MBAROUK wa mahakama ya rufani..wengine ni stella mugasha na shaabanlila wa mahakama kuu
mafunzo ni ya wiki moja kuanzia tarehe 24.09.12 london uingereza.
Home »
» Jaji Mbarouk apelekwa uingereza kupata mafunzo


0 comments:
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !