Home »
» Jaji Mkuu Kushiriki Hukumu ya Lema.
Jaji Mkuu Kushiriki Hukumu ya Lema.
Written By Unknown on Wednesday, 12 September 2012 | 02:30
Jaji Mkuu Wa Tanzania, Othman Chande atakuwa mmojawapo katika jopo la majaji watakaoshiriki kupitia na kisha kutoa maamuzi katika rufani ya kesi Na 47/2012 ya aliyekuwa Mbunge wa Arusha Mjini, God bless Lema.
Binafsi sifahamu kushirikishwa kwa Mh.Jaji Mkuu huwa ni hiari yake au inategemeana na uzito wa kesi, au na yeye huwa yumo kwenye roster, lakini huenda kwa shauri hili la Lema ikawa na maana yake maalum!
Lets wait.



0 comments:
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !