Headlines News :
Home » » Viongozi Jukwaa la Wahariri walimwalika Nchimbi katika maandamano

Viongozi Jukwaa la Wahariri walimwalika Nchimbi katika maandamano

Written By Unknown on Wednesday, 12 September 2012 | 13:24

Nimethibitishiwa na msaidizi wa karibu wa Waziri wa mambo ya ndani kuwa mmoja wa viongozi wa juu wa Jukwaa la wahariri na aliyekuwa na jukumu la kuandaa maandamano hayo Bwana Nevil Meena ndie aliyemwalika waziri nchimbi kuhudhuria maandamano ya wanahabari

Bwana Meena anadaiwa kumruhusu waziri kuja kwenye maandamano kama mtu wa kawaida sababu watu wote walikuwa wanakaribishwa. Hii ndio sababu ilimfanya Meena kupatwa na aibu pale waandishi walipomkataa waziri kuhutubia huku yeye akiwaomba wamsikilize lakini nguvu za umma za waandishi zikamshinda.

Hivyo itakuwa ni makosa kulaumu ujio wa waziri pale na madai kuwa alivamia. Ukweli ni kwamba alipewa ruhusa ya kuwepo pale tena ruhusa toka kwa waandaaji wa maandamano wenyewe, yaani Jukwaa la wahariri.
Share this article :

0 comments:

Speak up your mind

Tell us what you're thinking... !

Followers

SEARCH THIS BLOG

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Proudly powered by Blogger
Copyright © 2011. Habari Bongo - All Rights Reserved
Template Design by Creating Website Published by Mas Template