Home »
» CCM Wakejeli vikali Maandamano ya Waandishi!
CCM Wakejeli vikali Maandamano ya Waandishi!
Written By Unknown on Wednesday, 12 September 2012 | 03:11
Waziri wa Mambo ya Ndani Dk. Emmanuel Nchimbi akiondoka uwanjani baada ya waandishi wa habari kumtaka aondoke, mambo mawili ya kushangaza yaliojiri ni kwamba waandishi wamemtaka waziri aondoke lakini ndio wamekuwa wa kwanza kumhoji kama anavyoonekana pichani pili waandishi hao hao wakampa nafasi Dk Xavery Rweitama wa Chadema kuongea kama rafiki wa waandishi wa habari... Jamani taaluma hii na siasa ni vitu viwili tofauti.
Source: CCM Blog
Mytake:
Nape Nnauye ndo alizindua hii blog ya CCM na yeye ndo anapeleka habari hizi; inakuwaje Nape unakuwa na chuki na waandishi? Je mbona unabomoa chama chetu?



0 comments:
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !