Home »
» Nape ni vyema ukamjibu Tundu Lissu
Nape ni vyema ukamjibu Tundu Lissu
Written By Unknown on Sunday, 9 September 2012 | 14:05
Nape Tundu kasema mauaji yote yaliyotokea Igunga, Arumeru, Singida, Morogoro, Iringa, Nk wauaji wafunguliwe mashitaka na iundwe tume huru
Wewe unaamini serikali yako haihusiki kinachowaogopesha ni nini?? Mkiwa mnajeshi la polisi, mahakama DPP nk kwanini hamtaki haki na sheria ikachukua mkondo. Acha kulalamika wote tuishinikize serikali yenu ifanye kazi halafu tuone nani muuaji na nani asafishwe.
Tufuate utawala wa sheria na haki mauaji yametokea wauaji wako wapi? Ikumbukwe wote waliofyatua risasi ni polisi kwa maelekezo maalumu wafikishwe mahakamani tujue ukweli.
0 comments:
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !