Home »
» Prof Lipumba Mchakamchaka Mpaka Ikulu kama John Atta Mills, Ghana's president?
Prof Lipumba Mchakamchaka Mpaka Ikulu kama John Atta Mills, Ghana's president?
Written By Unknown on Sunday, 9 September 2012 | 23:26
Nashindwa kumwelewa Prof Lipumba na harakati zake za kutaka ingia Ikulu. Zaidi ya Miaka 20 sasa bado hajakata tamaa na uchu wa Magogoni. Prof Lipumba nakubaliana na elimu yako katika taaluma ya Uchumi, lakini lazima ukubaline na mimi kuwa siasa siofani yako. Muungano wa CUF na CCM Zanzibar ni mfano tosha kutetea hoja yangu, pia jinsi mlivyotatua mgogoro na Ahmad Rashid. CUF kucheza nyimbo za CCM kukabiliana na CDM nayo ni hoja nyingine kukutoa katika ulingo wa siasa
Mh Lipumba! Jua karibu litazama kwa wewe kuzidi kukimbilia Ikulu, na Ukiingia ndio itakuwa kama John Atta Mills wa Ghana kabla mhula wako mmoja kuisha. Je CUF haina watu wengine zaidi yako Prof Lipumba na Seif Sharif ?
0 comments:
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !