Home »
» Mtoto wa kambona ajiunga na M4C, wengi wajiunga
Mtoto wa kambona ajiunga na M4C, wengi wajiunga
Written By Unknown on Sunday, 9 September 2012 | 23:40
Binti Wa Oscar Kambona Ajiunga Na Chadema...
Mwenyekiti wa Chadema UK Chris Lukosi akimkabidhi kadi mwanachama mpya Neema Kambona, mtoto wa mwanasiasa mkongwe Mzee Oscar Kambona, shughuli hii fupi ilifanyika Leo Barking baada ya Watanzania wengi kuamua kujiunga na M4C. Picha na Maelezo: Chadema UK
0 comments:
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !